Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 378
Naamini humu mko poa kabisa.
Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na sasa.Yaani Uume unasimama na unakuwa mgumu kabisa ila ninapo anza sasa kuandaa mwenzangu unakuwa unaaza kusinyaa.
Naomba wajuzi mnisaidie nini shida make kwenye vyakula sina shida yoyote ile na kumbuka uume si kwamba hausimami unasimama hata wakati wowote ule shida ni hapo tu.
Kwa sasa hata mwenzangu anashangaano ni kitu gani kimetokea ghafla hivyo.