Msaada: Uume hausimami niamkapo asubuhi

Habar madaktar,,,,Kama mada tajwa hapo juu ,,Nina zaidi ya cku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafaut na awali hata kama Nina mkojo,,,je hili ni tatzo au ni hali ya kawaida....naomba kujuzwa
Kama ulipokuwa unapiga Punyeto hiyo ndio sababu ya wewe unapo amka asubuhi Uume wako hausimami nione mimi nipate kukutibia una matatizo ya nguvu za kiume. What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Piga squat mia 2 kwq siku moja tu tena piga usiku sa 3 hv thn lala..thn lete mrejesho kesho...
 
I wish tubadilishane, mm unasimama daily km unasearch signal mpk usumbufu
Nlipata ushauri wa kufanya mazoez na kunywa maji mengi na kupnguza mawazo ...nmetekele hayo ,,,sasa hivi unasimama Leo alimanusura nichene boxer yaan unasimama kama kinyerezi phase 2
 
Back
Top Bottom