Utengenezaji wa juice (cocktail) ya rosela

stunnacarter2015

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
463
1,287
Wasalam wakuu wote,

Twende moja kwa moja na kichwa cha habari, kuna juice (cocktail) ya rosela kwa anayefahamu utengenezaji wake jamani anisadie.

Mchana mwema kwa wote!
 
Wasalam wakuu wote,

Twende moja kwa moja na kichwa cha habari, kuna juice (cocktail) ya rosela kwa anayefahamu utengenezaji wake jamani anisadie.

Mchana mwema kwa wote!
Mimi yangu hupenda kuchanganya rosela na ukwaju ulioiva pamoja na tangawizi na ndimu hua na ladha nzuri sana

  • chemsha rosela na ukwaju kidogo pamoja
  • acha ipowe kwa muda kisha chuja
  • weka maji kulingana na concentration unayotaka
  • weka maji ya ndimu kiasi na tangawizi na sukari
  • enjoy your cocktail:p
 
Ouh aiwi chachu sana lakin
 
Chukua maua ya rosela chemsha kwa muda wa dakika kumi na tano.kisha chuja weka sukari koroga na juicy yako inakua tayari

Waweza weka kwa fridge ili iwe na mzuka zaidi. Hio ni simple waye vile vile unaweza changanya na viungo ingine kama commenter wa kwanza alivyosema

NB
Waweza tengeneza pia rosela wine kwa kuchemsha gram 400 ya rosela kwa maji lita 5 kisha sukari kikombe 1 cha chai then unatia hamira 2 tea cups baada ya hapo unaiacha ichachuke kwa muda wa 1 week
 
Chukua maua ya rosela chemsha kwa muda wa dakika kumi na tano.kisha chuja weka sukari koroga na juicy yako inakua tayari
Waweza weka kwa fridge ili iwe na mzuka zaidi.hiu ni simple waye vile vile unaweza changanya na viungo ingine kama commenter wa kwanza alivyosema
NB
Waweza tengeneza pia rosela wine kwa kuchemsha gram 400 ya rosela kwa maji lita 5 kisha sukari kikombe 1 cha chai then unatia hamira 2 tea cups baada ya hapo unaiacha ichachuke kwa muda wa 1 week
Sorry hamira vijiko viwili
 
Mkuu hapo kwenye wine naomba unifafanulie zaid ukitengeneza unaweka wap maana nilijaribu siku niliweka kwenye vidumu matokeo yake vdumu vilibust na mlio mkubwa kama bomu teena ilikua ni siku ya pili toka nisindike asa sijui n wap nilienda hovyo
 
Back
Top Bottom