Msaada/Utata kuhusu kibali cha ujenzi maeno ya Kigamboni

Digital Marketer

Senior Member
May 1, 2019
112
149
Za mida wakuu, nimekua napata sana utata kuhusu Vibali vya ujenzi na bei zake, kama kuna mtu anafaham Naomba msaada hususani maeneo ya Kigamboni. Wtu wanasema bei ambazo sizielewi.
 
Za mida wakuu, nimekua napata sana utata kuhusu Vibali vya ujenzi na bei zake, kama kuna mtu anafaham Naomba msaada hususani maeneo ya Kigamboni. Wtu wanasema bei ambazo sizielewi.
Unaonaje kama Ukifika Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ili uweze kupewa majibu na Maafisa Ardhi na Mipango miji. kuliko humu ambapo hautapata majibu rasmi ya wataalamu wa eneo hilo
 
Back
Top Bottom