Msaada utaratibu wa kurudia kusahihishiwa upya mtihani kidato cha sita

Mkuu unachobisha ww ni kipi kwamba ukiwa na CE huna sifa za kudahiliwa au unazungumzia nn?
Mkuu wewe ndo huelewi kabisa mtu anaweza akiwa na CEE chuo haendi kabisa ,ni kweli hapo ukijumlisha point zinazid nne lakini kuna kitu hiki
" Two principal passes"

Lazima uwe na ufauli kwenye masomo mawili pia hata kama ana point nne,

Unaweza ukawa na AEE na chuo huende ,wao wanataka ufaulu wa masomo mawali yenye ufaulu ambao minimum point yake iwe kuanzia 4.0 .kwahiyo usitukane tu .Huyo dogo chuo haendi kwa matokeo yake hayo.
 
Hahahaa mkuu twende taratbu tueleweshane.....pia kama kukwambia ficha ujinga wako ni tusi basi sio swla niwie radhi
Wewe jamaa tatzo ni mbishi then una dharau baki na upumbavu wako

Ila mkuu bado umekalili sio lazima uwe na D mbili ndo udahiliwe muhimu point nne so hata CE,AE,BE except DE sababu hapo point zinakuwa sio 4 bali ni 3 so sijui unachokibishia nini au hapo sijui nini.
 
Mkuu ebu kasome basi vigezo vya TCU then uje chapu kufuta upupu wako eti upate AEE hafu ukose chuo divison 2 ya 11 ukose chuo daaah pole sana...wakati huyo ni sawa na mtu mwnye C mbili zote zinaleta point 6 mbona watanzania wabishi kwenye vitu tisivyovifahamu
Mkuu wewe ndo huelewi kabisa mtu anaweza akiwa na CEE chuo haendi kabisa ,ni kweli hapo ukijumlisha point zinazid nne lakini kuna kitu hiki
" Two principal passes"

Lazima uwe na ufauli kwenye masomo mawili pia hata kama ana point nne,

Unaweza ukawa na AEE na chuo huende ,wao wanataka ufaulu wa masomo mawali yenye ufaulu ambao minimum point yake iwe kuanzia 4.0 .kwahiyo usitukane tu .Huyo dogo chuo haendi kwa matokeo yake hayo.
 
Mkuu ebu kasome basi vigezo vya TCU then uje chapu kufuta upupu wako eti upate AEE hafu ukose chuo divison 2 ya 11 ukose chuo daaah pole sana...wakati huyo ni sawa na mtu mwnye C mbili zote zinaleta point 6 mbona watanzania wabishi kwenye vitu tisivyovifahamu

Chuo huend kama huna DD mbili ,yaan ufaulu wa masomo mawili naongea nachofahamu Mkuu ,,kama wewe upo kwa ajili ya malumbano sawa ngoja nikuache.
 
Ndio hapo haendi chuo nakuambia hata uwe na AEE chuo huend ,chuo wanataka ufaulu wa masomo mawili yenye minimum point ya 4.0 , ukipata AEE ni kweli unakuwa umevuka minimum lakin kigezo cha ufaulu wa masomo mawili bado hujakitimiza Mkuu ,,kwahiyo uyo mwanao mwenye CEE chuo kikuu haendi

Mkuu unachobisha ww ni kipi kwamba ukiwa na CE huna sifa za kudahiliwa au unazungumzia nn?
 
Kuna kijana yupo secnd year alimaliza Pugu akapata CEE PCM now anapiga CIVIL ENG ardhi...hiyo imekaaje mkuu
Ndio hapo haendi chuo nakuambia hata uwe na AEE chuo huend ,chuo wanataka ufaulu wa masomo mawili yenye minimum point ya 4.0 , ukipata AEE ni kweli unakuwa umevuka minimum lakin kigezo cha ufaulu wa masomo mawili bado hujakitimiza Mkuu ,,kwahiyo uyo mwanao mwenye CEE chuo kikuu haendi
 
Hapo hapo ebu niambie kigezo cha hayo masomo mawili maana E nayo ipo termed as principle pass kitu ambacho sijui hukijui au unabisha tu.
Ndio hapo haendi chuo nakuambia hata uwe na AEE chuo huend ,chuo wanataka ufaulu wa masomo mawili yenye minimum point ya 4.0 , ukipata AEE ni kweli unakuwa umevuka minimum lakin kigezo cha ufaulu wa masomo mawili bado hujakitimiza Mkuu ,,kwahiyo uyo mwanao mwenye CEE chuo kikuu haendi
 
Ebu naomba ufafanuzi wa hapo...otherwise mwaka huu labda wabadilishe ila utaritbu uko ivyo mkuu na usiwe ukawa mmoja wapo wa kukatisha watu tamaa kuna binti mpka leo hatonisahau now yupo mwaka wa kwnza alipata CEE PGM akajua ndo basi ashazngua kozi hana D mbili kama mnavyidai wengi wenu......nikamwmbia afanye application na hakosi chuo kweli now yupo IFM anachukua nyuzi yake safi mawazo ya diploma ikiwa byebye
Chuo huend kama huna DD mbili ,yaan ufaulu wa masomo mawili naongea nachofahamu Mkuu ,,kama wewe upo kwa ajili ya malumbano sawa ngoja nikuache.
Screenshot_20190713-081532.jpeg
 
Ebu naomba ufafanuzi wa hapo...otherwise mwaka huu labda wabadilishe ila utaritbu uko ivyo mkuu na usiwe ukawa mmoja wapo wa kukatisha watu tamaa kuna binti mpka leo hatonisahau now yupo mwaka wa kwnza alipata CEE PGM akajua ndo basi ashazngua kozi hana D mbili kama mnavyidai wengi wenu......nikamwmbia afanye application na hakosi chuo kweli now yupo IFM anachukua nyuzi yake safi mawazo ya diploma ikiwa byebyeView attachment 1152308
Hapo kinacho hitajika ni ufaulu wa masomo mawili yenye minimum point 4.0 ,kwahiyo ukipata AEE huna ufaulu wa masomo mawili.

Huyo aliye jiunga chuo alimaliza kidato cha sita mwaka gani ,kama alimaliza kabla ya 2016 yawezekana akasoma .Maana haya mambo yamekuja kuanzia mwaka 2016.
 
Back
Top Bottom