Sijawahi kuyaamini matokeo ya MOCK toka Enzi hizo tulipopewa mitihani tukapatapo one za point 3 kimbembe kikaja NECTAHabari wanajamvi
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)
Naomba kujuzwa wakuu
Ahsanten
Anatakiwa kujaza appeal form na kulipia gharama kidogo nadhani, muone mkuu wa chuo au mtaaluma watakuwa wanafahamu zaidi utaratibu. NawasilishaHabari wanajamvi
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)
Naomba kujuzwa wakuu
Ahsanten
Tena kwa vile wanamsahihishia peke yake watakuwa makini hatariiii..Habari wanajamvi
Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)
Naomba kujuzwa wakuu
Ahsanten
Chuo anaenda ila kupata kozi anazozitaka ndo mtihan
Kozi gani hapo ajaribu kuziomba kulingana na ufauru wake.... Market za ajira zisikupe shida mi nataka aue aje kupiga biashara zake tu.... Kile kichwa sio cha kuajiriwa anaweza akafia jela kuitia hasara kampuni
Vipi ile ishu ya kufanya mandingo wakati wa zoez result ibadilike nasikia wanafanyaga hyoYou will be wasting your time and money,
Process ya Marking Necta iko so accurate kuliko unavyodhani,
Possibility ya kushinda appeal ni 0.00001%
Trust Me.
HKLTahasusi gan alichukua