Msaada utaratibu wa kurudia kusahihishiwa upya mtihani kidato cha sita

Habari wanajamvi

Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)

Naomba kujuzwa wakuu

Ahsanten
Sijawahi kuyaamini matokeo ya MOCK toka Enzi hizo tulipopewa mitihani tukapatapo one za point 3 kimbembe kikaja NECTA
 
Habari wanajamvi

Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)

Naomba kujuzwa wakuu

Ahsanten
Anatakiwa kujaza appeal form na kulipia gharama kidogo nadhani, muone mkuu wa chuo au mtaaluma watakuwa wanafahamu zaidi utaratibu. Nawasilisha
 
Matokeo ya Mock hayana uhalis kwa necta!! Ni vitu viwil tofauti...kupanda au kushuka kupo so inategemeana na jins pepa lilivyomjia siku hiyo...
 
Kuna gharama za kila mtihani unaorudia kusahihishwa, tena wanaeza kufanya kitu kibaya zaidi coz utawaona kama wao hawako vzr kwenye majukumu yao, ila jaribu kwenda shule yoyote yenye form six ulizia kwa mtaaluma atakupa utaratibu
 
Habari wanajamvi

Niende moja kwa moja kwenye mada
Naomba kujua utarabu wa kurudia marking za ACSEE kijana wangu ana EEC (III13)PCM wakati mock alipata BBA(I5)

Naomba kujuzwa wakuu

Ahsanten
Tena kwa vile wanamsahihishia peke yake watakuwa makini hatariiii..

Ukikosea is the proces umekosa definition nzima kudadadeki.

Utasokotwa haswaaa

Sina utaalamu lakini
 
Hakitabadirika kitu hapo mkuu, matokeo yatabaki vile vile hata wakirudia kusahihisha.Mock na Necta vitu viwili tofauti kabisa si yeye wa kwanza kupata hivyo.
 
Kozi gani hapo ajaribu kuziomba kulingana na ufauru wake.... Market za ajira zisikupe shida mi nataka aue aje kupiga biashara zake tu.... Kile kichwa sio cha kuajiriwa anaweza akafia jela kuitia hasara kampuni
Chuo anaenda ila kupata kozi anazozitaka ndo mtihan
 
Tahasusi gan alichukua
Kozi gani hapo ajaribu kuziomba kulingana na ufauru wake.... Market za ajira zisikupe shida mi nataka aue aje kupiga biashara zake tu.... Kile kichwa sio cha kuajiriwa anaweza akafia jela kuitia hasara kampuni
 
Mkuu unaonekana una ufahamu mkubwa wa haya mambo
You will be wasting your time and money,
Process ya Marking Necta iko so accurate kuliko unavyodhani,
Possibility ya kushinda appeal ni 0.00001%
Trust Me.
Vipi ile ishu ya kufanya mandingo wakati wa zoez result ibadilike nasikia wanafanyaga hyo
 
kesi ya nyani umpelekee ngedere? huwezi fanikiwa kwenye appeal kama huamini jaribu kuangalia appeal zilizotangulia,baraza ndio waliosahihisha halafu uwakosoe?usipoteze muda
 
Back
Top Bottom