Msaada: Utaratibu wa kufungua kiwanda Tanzania

Ni kina nani hao???sidhani kuna tajiri yeyote ninaye ona ana nguvu hapa Tanzania ya kuweza kuzuia maendeleo....Ukipiga pesa kwenye dili zako alafu uwekeze kwenye kiwanda sidhani kama kuna mtu anayeweza kukuzuia

Hiyo ni kwa uchache ndugu..tunataka tanzania kwa ujumla iwe yenye viwanda yani kuwe na easy entry kwenye hiyo sector ndugu.
 
Back
Top Bottom