Msaada Utaratibu wa kuapa Na kuongeza jina la tatu

bea alonzo

Member
Dec 15, 2016
96
28
Habar za saa Hz wana Jamii forum msaada kwa watu wanajua namna ya kuapa Na kuongeza jina la tatu Na inachukua mda gan? Had mchakato kukamilika
 
Kama hukupata msaada hapo unatakiwa uwe na kitu kinaitwa deed poll ambayo hupatikana kwa mawakili kwa bdi tofauti tofauti kulingana na wakili mwenyewe baada ya hapo utaipeleka kwa msajili ambaye anapatikana kitengo cha ardhi huyo atakusajilia kwa malipo ya shilingi 43000 japokuwa huko huwaga wanazingua kidogogo kukuchosha ili watengeneze mazingira ya kuwatoa kidogo
 
32500 mkuu
 
Back
Top Bottom