Msaada: Utambulisho wa Tanzania

Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
981
1,000
Salamu kwenu Wanajamvi,

Wakuu, mwanajamvi nimejikuta namaliza masaa bila kupata wazo la maana, hivyo nimeona si vibaya tusaidiane!

Nipo mahala katika kusanyiko fulani. Siku moja kabla ya mwisho wa hili kusanyiko (Ijumaa ya tarehe 5/12) mtu (atakayehitaji) atapewa muda wa kufanya tukio linaloitambulisha nchi yake (iwe kuimba/kucheza/kuzungumza n.k.). Sasa wanawane, mimi nahitaji kufanya jambo, lakini najiuliza ni nini hasa utambulisho wa Tanzania!?

Mwenye wazo naomba anipatie (sio lazima kufanya kitu, lakini napenda kufanya jambo fulani).

NB: Ingawa tunatibuana na kina ESCROW, lakini Tanzania ni yetu (tutafanyaje sasa na nchi ndiyo yetu)
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,126
2,000

Andaa presentation fupi yenye kutambulisha nchi yako kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi...
 
Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,363

Ni pm email yako nikutumie country brief presentation ambayo ipo kwenye power point.
 
MSHINO

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
891
500
Salamu kwenu Wanajamvi,

Wakuu, mwanajamvi nimejikuta namaliza masaa bila kupata wazo la maana, hivyo nimeona si vibaya tusaidiane!

Nipo mahala katika kusanyiko fulani. Siku moja kabla ya mwisho wa hili kusanyiko (Ijumaa ya tarehe 5/12) mtu (atakayehitaji) atapewa muda wa kufanya tukio linaloitambulisha nchi yake (iwe kuimba/kucheza/kuzungumza n.k.). Sasa wanawane, mimi nahitaji kufanya jambo, lakini najiuliza ni nini hasa utambulisho wa Tanzania!?

Mwenye wazo naomba anipatie (sio lazima kufanya kitu, lakini napenda kufanya jambo fulani).

NB: Ingawa tunatibuana na kina ESCROW, lakini Tanzania ni yetu (tutafanyaje sasa na nchi ndiyo yetu)

1.Tafuta salamu za makabila ya Tanzania km 20 hivi au zaidi, na mwisho Zunguza kiswahili ikiwezekana na salamu za madhehebu mbalimbali na uwaambie Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 lakini ukija Tanzania hutasikia hizi salamu, utapata salamu ya habari yako, shikamo, za mchana au mambo. Huu ndiyo utamburisho wa Mtanzania.

2. au baadhi ya nchi hutumia nipe kitu fulani au lete hapa kitu furahi hata ukienda hotelini hatusemi leta, tusamema naomba. kwa mfano ukienda hotelini unasema naomba wali nyama, wakati Kenya wanasema niuzie wali wanyama. ukisema naomba una maana ya bure.

kazi njema.
 
Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
981
1,000
Shukrani, wacha tuone hii haraka akili itaishia wapi kuyafanya mengi ya nchi kuwa machache!

Andaa presentation fupi yenye kutambulisha nchi yako kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi...
 
Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
981
1,000
Shikamoo Mshino!
Asante sana

1.Tafuta salamu za makabila ya Tanzania km 20 hivi au zaidi, na mwisho Zunguza kiswahili ikiwezekana na salamu za madhehebu mbalimbali na uwaambie Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 lakini ukija Tanzania hutasikia hizi salamu, utapata salamu ya habari yako, shikamo, za mchana au mambo. Huu ndiyo utamburisho wa Mtanzania.

2. au baadhi ya nchi hutumia nipe kitu fulani au lete hapa kitu furahi hata ukienda hotelini hatusemi leta, tusamema naomba. kwa mfano ukienda hotelini unasema naomba wali nyama, wakati Kenya wanasema niuzie wali wanyama. ukisema naomba una maana ya bure.

kazi njema.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,126
2,000
Shukrani, wacha tuone hii haraka akili itaishia wapi kuyafanya mengi ya nchi kuwa machache!
Kuna mtu kakupa wazo la ppt lakini natamani sana kama ungelipata video fupi ya takribani dk 3 tu ambayo ipo narrated kama zile wanazozitumia walimbwende wakienda Miss World...
 
Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
981
1,000
Mkuu nimefarijika sana ulivyolitumia hili neno "natamani". Limenipa picha jinsi ulivyolipa uzito hili ninalotaka kulifanya (Shukrani sana).
Kwa kweli kuna sababu ya kuandaa (kutafuta) kitu kama hiki ulichokielezea kiwepo tu tayari kwa matukio kama haya (hili ni somo tosha ati).

Kuna mtu kakupa wazo la ppt lakini natamani sana kama ungelipata video fupi ya takribani dk 3 tu ambayo ipo narrated kama zile wanazozitumia walimbwende wakienda Miss World...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom