Msaada ushuru wa mtumba grade one

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Wana JF nimekuja tena kwenu . Ninajua hakuna kinachoshindikana hapa jukwaani.
Ninaomba kujua kodi ya ushuru wa grade 1 kutoka German. Ninachojua huwa wanatoza kwa kilo.Je kilo moja ni sh ngapi? Au nina mzigo wa kilo 8000. Nitegemee ushuru wa kama sh ngapi?.
Asante sana wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom