Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

MARDOLEO94

New Member
Jan 30, 2014
1
0
Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?

images (9).jpeg

images (8).jpeg
 
Kama unaishi mkoa wenye baridi sawa, ila kama ni kwenye mikoa ya joto shauri yako, hizi dari ni asili huko mkoa wa njombe, na nyumba yake angalau huwa na joto, kiasili wanatumia udongo na miti au mabanzi.
 
Hizi picha ni baadhi ya majengo Zanzibar.
 
hizi dari walitengeneza masultani miaka hiyo ya giza sidhani kama siku hizi wanatumia maana nondo na sementi zipo
 
Kama unaishi mkoa wenye baridi sawa, ila kama ni kwenye mikoa ya joto shauri yako, hizi dari ni asili huko mkoa wa njombe, na nyumba yake angalau huwa na joto, kiasili wanatumia udongo na miti au mabanzi.
Bila shaka hata kwa joto zinafaa. Zege halipitishi joto kirahisi.
 
Back
Top Bottom