Msaada/Ushauri: Nimepotelewa na Lock Spanner (LOKI) ya Toyota Raum

Wamuyaya

Member
Apr 4, 2021
72
68
Habari za kazi wadau!

Juzi kati nilibadirisha tairi kwenye gari yangu, nikaweka tairi la spea.

Kwenye gari yangu kwenye kila tairi moja kuna nati moja ya lock ambayo inafunguliwa na spana yake.

Leo nilitaka kubadirisha tairi lkn kwa bahati mbaya spana ya kufungulia hiyo lock siioni mahali nilipokuwa nimeiweka.

Nimekwama, naombeni ushauri wenu kwa wenye uzoefu!
 
Kwanza pole sana!! Ila hapa Kariakoo kuna vijana wanaweza kuzifungua hizo lock nut bila shida yoyote ile
 
Back
Top Bottom