Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,446
Nairobi nimeziona nyingi sana kabisa. Pia nimeona toyota succeed na probox nyingi sana pale nairobi.Arusha na nairobi zimejaa kama jezi. Japo wese lake ujipange
Nairobi nimeziona nyingi sana kabisa. Pia nimeona toyota succeed na probox nyingi sana pale nairobi.Arusha na nairobi zimejaa kama jezi. Japo wese lake ujipange
gari nzuri nimeitumia toka 2010 nilianza na sf9 mpaka sasa niko na SG5 cross sport. inahimili shida iko na nguvu designed for off road.Naombeni ushauri juu ya hii gari, nahitaji isiokua na turbo engine kuanzia mwaka 2004 hadi 2006. Natanguliza shukurani
ahsante kwa ushauri.gari nzuri nimeitumia toka 2010 nilianza na sf9 mpaka sasa niko na SG5 cross sport. inahimili shida iko na nguvu designed for off road.
spares zipo siku hizi japo bei ya spare sio km ya corolla.
Tunashukuru kwa maelezo mazuri, wakenya wanazipenda sana hizi gari nafikiri ni kwasababu ya uimara. Kwa kuwa umezitumia, unaweza kubainisha consumption yake kwenye mazingira tofauti tofauti? handling yake na pia comfortability yake ikoje? Unaweza ukailinganishaje na harrier kama umeshawahi kuitumia, thanks mkuuMimi namiliki subaru forester ya 2004 ni gari zuri sana na huwa napenda kusafiri nalo na wenye v8 hata siku moja hawajawahi kukaa mbele yangu na kwenye muinuko kwa subaru ni kama iko kwenye tambarare tu halafu kizuri ni all weather road iwe matope, mchanga yenyewe inapasua tu kwa kifupi ni gari yenye power sana na barabarani iko stable...
detailed and extremely information, thanks a ton!kwa kifupi mi huwa nashaangaa wabongo ukimuliiizia kuhusu subaru utasikia hizo gar achana nazo zina gharama na zinakula wese... kama unagar ya Cc2000 na inakula wese hiyo mbovu haijalishi lakin ulaji wa subaru (nazungumzia Legacy nayoitumia) ni sawa na IST ya cc2000 ama TI,
Bro sijawah tumia forester ila mungu akinijalia nataka ninunue ya at least mwaka 2008 na kuendelea.. ila in general subaru ni gari ngumu mno, haijalishi ni impreza , forester ama legacy. mi nina legacy b4 Manual transmission na nimei abuse sana tu lakini bado iko order sana. na kama nikiendesha kiustaarabu napata 10km kwa lita, hapo Ac inakuwa sio all time, ila nikiendesha kibishoo kama vijana wa mjin (yaani full Ac na mbioo za kutosha) bas hapo naishia kwenye 6 - 7km kwa lita
kwenye high way huwa napata had 13km kwa lita
Kwa taarifa tu : Shockup za subaru zinarange kuanzia ( 250,000 - 350000) hapo bila kujali ni forester ama legacy subaru sifaham kuhusu impreza bei zake ila naamini haziachani mbali
so bei hiz za spea nilizoweka chini ni kwa forester na legacy
air filter - 60,000 - 80,000
stabilzer link - 70,000 - 120,000
oil filter - 50,000 - 80,000
wishbone bush - 120,000 - 180,000 ( zile zilizokaa kama Z) , kama unanunua bush yenyewe bila jumba la Z ni around 50,000
Subaru manual engine Oil (recommeded by Subaro OEM) - synthetic 05w30 (prefered brand castrol, Total, Mobil1
Subaru manual car Gear Oil (recommeded by Subaro OEM) - TAF - X 75W - 90, LT SAE 75W - 85, Both should be API GL - 4 ( brand ni same as above)
Hizo Engine oil nilizokutajia zinakupa from 10K - 20K milage kabla ya kumwaga na ndo recommended, kwa Gear oil ni around 10K. mi binafsi natumia castrol nanunuaga pale fire kituo cha Puma bei inacheza kwenye 150,000 had 200,000)
na gear oil bei inacheza around 60,00 had 90,000
KWA KIFUPI KAMA UTAMUDU HUO MCHANGANUO WA HAPO JUU BAS JUA HIYO GARI KUGUSA 300K MILAGE NI GUARANTEE ILA KAMA UTAWEKA OIL ZA ELFU KUMI SIJUI AROBAIN BAS HUVUKI 50K MILAGE, mchawi wa garI ni service na kuzingatia recomended oil, sio unakimbilia vya bei rahisI, na subaru Engine zako ziko very sensitive kwenye oil
BEI YA HIZO SPEA NILIZOTAJA NI KWA SPEA MPYA, KWA USED SPEA BEI INAKUWA AROUND NUSU YA BEI YA MPYA
LEGACY b4 (ya mwaka 2002)
Bmw check engine hazikawii kuwaka hizoSubaru..BMW.Volkswagen. Kwakweli ni bora.uwezo wako.na matumizi mazuri
Mi napenda legacy b4 kuliko forester, legacy b4 ziko officialkwa kifupi mi huwa nashaangaa wabongo ukimuliiizia kuhusu subaru utasikia hizo gar achana nazo zina gharama na zinakula wese... kama unagar ya Cc2000 na inakula wese hiyo mbovu haijalishi lakin ulaji wa subaru (nazungumzia Legacy nayoitumia) ni sawa na IST ya cc2000 ama TI,
Bro sijawah tumia forester ila mungu akinijalia nataka ninunue ya at least mwaka 2008 na kuendelea.. ila in general subaru ni gari ngumu mno, haijalishi ni impreza , forester ama legacy. mi nina legacy b4 Manual transmission na nimei abuse sana tu lakini bado iko order sana. na kama nikiendesha kiustaarabu napata 10km kwa lita, hapo Ac inakuwa sio all time, ila nikiendesha kibishoo kama vijana wa mjin (yaani full Ac na mbioo za kutosha) bas hapo naishia kwenye 6 - 7km kwa lita
kwenye high way huwa napata had 13km kwa lita
Kwa taarifa tu : Shockup za subaru zinarange kuanzia ( 250,000 - 350000) hapo bila kujali ni forester ama legacy subaru sifaham kuhusu impreza bei zake ila naamini haziachani mbali
so bei hiz za spea nilizoweka chini ni kwa forester na legacy
air filter - 60,000 - 80,000
stabilzer link - 70,000 - 120,000
oil filter - 50,000 - 80,000
wishbone bush - 120,000 - 180,000 ( zile zilizokaa kama Z) , kama unanunua bush yenyewe bila jumba la Z ni around 50,000
Subaru manual engine Oil (recommeded by Subaro OEM) - synthetic 05w30 (prefered brand castrol, Total, Mobil1
Subaru manual car Gear Oil (recommeded by Subaro OEM) - TAF - X 75W - 90, LT SAE 75W - 85, Both should be API GL - 4 ( brand ni same as above)
Hizo Engine oil nilizokutajia zinakupa from 10K - 20K milage kabla ya kumwaga na ndo recommended, kwa Gear oil ni around 10K. mi binafsi natumia castrol nanunuaga pale fire kituo cha Puma bei inacheza kwenye 150,000 had 200,000)
na gear oil bei inacheza around 60,00 had 90,000
KWA KIFUPI KAMA UTAMUDU HUO MCHANGANUO WA HAPO JUU BAS JUA HIYO GARI KUGUSA 300K MILAGE NI GUARANTEE ILA KAMA UTAWEKA OIL ZA ELFU KUMI SIJUI AROBAIN BAS HUVUKI 50K MILAGE, mchawi wa garI ni service na kuzingatia recomended oil, sio unakimbilia vya bei rahisI, na subaru Engine zako ziko very sensitive kwenye oil
BEI YA HIZO SPEA NILIZOTAJA NI KWA SPEA MPYA, KWA USED SPEA BEI INAKUWA AROUND NUSU YA BEI YA MPYA
LEGACY b4 (ya mwaka 2002)
Legacy ni nzuri sema labda urefu maana ni s/wagonMimi namiliki subaru forester ya 2004 ni gari zuri sana na huwa napenda kusafiri nalo na wenye v8 hata siku moja hawajawahi kukaa mbele yangu na kwenye muinuko kwa subaru ni kama iko kwenye tambarare tu halafu kizuri ni all weather road iwe matope, mchanga yenyewe inapasua tu kwa kifupi ni gari yenye power sana na barabarani iko stable. Spea zake ndo huwa zina gharama kwa sababu ni genuine na ukiifunga utasahau na ni gari ambayo haina magonjwa ya ovyo ovyo. Mimi fundi nikimuona labda ni kufanya service, au kubadili plugs
Sio zote kaka kuna legacy ambazo ni Sedan typeLegacy ni nzuri sema labda urefu maana ni s/wagon