Mkuu zipo na zenye body saloon kama gx100 nzuri sana kwani ina balance sanaLegacy ni nzuri sema labda urefu maana ni s/wagon
Mimi namiliki subaru forester ya 2004 ni gari zuri sana na huwa napenda kusafiri nalo na wenye v8 hata siku moja hawajawahi kukaa mbele yangu na kwenye muinuko kwa subaru ni kama iko kwenye tambarare tu halafu kizuri ni all weather road iwe matope, mchanga yenyewe inapasua tu kwa kifupi ni gari yenye power sana na barabarani iko stable. Spea zake ndo huwa zina gharama kwa sababu ni genuine na ukiifunga utasahau na ni gari ambayo haina magonjwa ya ovyo ovyo.
Nina legacy b4kwa kifupi mi huwa nashaangaa wabongo ukimuliiizia kuhusu subaru utasikia hizo gar achana nazo zina gharama na zinakula wese... kama unagar ya Cc2000 na inakula wese hiyo mbovu haijalishi lakin ulaji wa subaru (nazungumzia Legacy nayoitumia) ni sawa na IST ya cc2000 ama TI,
Bro sijawah tumia forester ila mungu akinijalia nataka ninunue ya at least mwaka 2008 na kuendelea.. ila in general subaru ni gari ngumu mno, haijalishi ni impreza , forester ama legacy. mi nina legacy b4 Manual transmission na nimei abuse sana tu lakini bado iko order sana. na kama nikiendesha kiustaarabu napata 10km kwa lita, hapo Ac inakuwa sio all time, ila nikiendesha kibishoo kama vijana wa mjin (yaani full Ac na mbioo za kutosha) bas hapo naishia kwenye 6 - 7km kwa lita...
Wewe agiza tu. Wala uziwazeWakuu nataka niagize Subaru Forester ya kuanzia 2003 to 2005 nishaurini nizingatie nini either turbo or non turbo
"kumbuka gari zinatumia mafuta na sio mtori"Subaru ziko flexible na very comfortable sana barabarani hasa rough road utazipenda, natumia Subaru Forester LL Bean Edition iko vizuri sana, kuhusi consumption ya mafuta cc2000 nayotumia Mimi iko kawaida sana kumbuka gari zinatumia mafuta na sio mtori, Subaru zinahitaji service na sio uunge vifaa vya Toyota mfano, filters lazima utumie za Subaru ili uwe safe zaidi, kikubwa ni viscosity ya oil kujua gari yako inayotumia mostlu subaru ikiyopita 10 years from manufacture inabidi utumie oil nzito yenye viscosity 15 or 20w5, ukipata ya miaka ya karibuni basi tumia iliyo nyepesi, Subaru ni symetrical AWD(All Wheel Drive) ambayo ni tofauti kidogo na 4WD, AWD inakupa nguvu kwa tairi zote 4 ila kwa upande ambao unahitaji nguvu tu, inaweza kua side kwa side au upande wa tairi moja tu tofauti na 4WD ambayo inavuta mbele au nyuma haina side to side
Subaru haina 4WD inatumia symmetrical AWD ambayo ipo engaged muda wote haijalishi ni lami au vumbi. Fatilia iyo symmetrical AWD ina operate vipi utangundua neno 4WD umekosea kulitumia hapo.Yote umejibu sawa kabisa na Subaru ni miongoni mwa magari bora kabisa. Lakini kuna kitu hujamweka wazi: hiyo Subaru Forester ni miongoni mwa magari yanayobugia mafuta kwa wingi sana ukiwa kwenye barabara za vumbi. Subaru ina automatic 4WD na ikigusa tu vumbi 4WD inaingia utake usitake. Ni nzuri na fuel efficient kwenye lami lkn kama unakaa uswazi sana jiandae na bajeti ya kiwese. Pia, spea zake zipo juu. Asante Mkuu.
B4 hioMkuu zipo na zenye body saloon kama gx100 nzuri sana kwani ina balance sana
Sawa kabisa.mimi nna Legacy B4 ya 2002.kwa kifupi mi huwa nashaangaa wabongo ukimuliiizia kuhusu subaru utasikia hizo gar achana nazo zina gharama na zinakula wese... kama unagar ya Cc2000 na inakula wese hiyo mbovu haijalishi lakin ulaji wa subaru (nazungumzia Legacy nayoitumia) ni sawa na IST ya cc2000 ama TI,
Bro sijawah tumia forester ila mungu akinijalia nataka ninunue ya at least mwaka 2008 na kuendelea.. ila in general subaru ni gari ngumu mno, haijalishi ni impreza , forester ama legacy. mi nina legacy b4 Manual transmission na nimei abuse sana tu lakini bado iko order sana. na kama nikiendesha kiustaarabu napata 10km kwa lita, hapo Ac inakuwa sio all time, ila nikiendesha kibishoo kama vijana wa mjin (yaani full Ac na mbioo za kutosha) bas hapo naishia kwenye 6 - 7km kwa lita...
Futa hiyo licence plate number haraka sana kama hutaki mmiliki wa hiyo gari huko Georgia State ajulikane.Reason:
- Napenda gari yenye kasi na stable
- Ni imara
- Ina options zote comfatability na sporty
- Ni SUV ina nafasi kubwa ndani
- Body shape yake inavutia kuanzia mbele, ubavuni na nyuma
- BOV Sound ndio ugonjwa wangu
- Manual Transmission with turbo ndio favourite choice
Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari hii kwa muda mrefu...so nimeamua kuiwekea dream hii katika plan, ninadunduliza kidogo nikipatacho na Mungu akijaalia mwakani ninayo.
View attachment 548937 View attachment 548938
SAWAFuta hiyo licence plate number haraka sana kama hutaki mmiliki wa hiyo gari huko Georgia State ajulikane.
Sent using Jamii Forums mobile app
The car is awesome.... I wish to have one tooReason:
- Napenda gari yenye kasi na stable
- Ni imara
- Ina options zote comfortability na sporty
- Ni SUV ina nafasi kubwa ndani
- Body shape yake inavutia kuanzia mbele, ubavuni na nyuma
- BOV Sound ndio ugonjwa wangu
- Manual Transmission with turbo ndio favourite choice
- Iwe kwenye lami au vumbi kote inapeta tu
Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari hii kwa muda mrefu...so nimeamua kuiwekea dream hii katika plan, ninadunduliza kidogo nikipatacho na Mungu akijaalia mwakani ninayo.
View attachment 548937 View attachment 548938
nakushauri uchukue subaru forester toleo la mwaka 2010,,,iko poa sana hutojutia bei yake ni kuanzia mil 28 kwenda juuReason: