MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

hehehe!mkuu hilo la gwamaka hapana bwana!
labda GALLUS na GAETANO

Baada ya Big braza ODM kuumiza kichwa kwa muda na kuafakari. Hatimaye Jina limepatikana. Lina kura yangu ya Veto.

GRANTS

Thread Closed!!!
 
No no no no no no sijamaanisha umwite Generation-Y, ila linaanza na G....Aspirin akipata tenda ya kusimamia ubatizo, mimi ntakua mkuu wa jiko upande wa uchomaji....

Hii jenereshen si inaanza na j???....:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1:
Albatar tapata habari ake! Huyu mtoto mmeshamuandalia katekisimo ya ISC....Like father like son....hiyo ni kanuni kuu.

Dah....mweka hazina kazin hapo....malengo ya muda mrefu....
Name Calling....You have been warned!
Hii thread ni Name G Tafutaring wewe unafanya name calling?

Kumbe baadhi ya majina hayaruhusiwi humu....:frusty::lying::banplease:
 
Wandugu,

Awali ya Yote Napenda kuchukua nafasi kuwashukuru wote wenye mapenzi mema mlioniletea maji na mikate nikiwa ''keko''.Nawapenda sana!WANAOKWENDA JELA SIO WOTE WENYE HATIA JAMANI........!wengine ndo hivyo wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa.Tuwapende tu wafungwa.Leo mimi,kesho wewe AU VIPI?okay okay tufunike kombe basi kwasababu LIFE HAS TO GO ON!

TATIZO LANGU,
Nahitaji ushauri/mawazo yenu kwa sasa.Natafuta Jina zuri la kumpa mtoto wa KIUME.Tumejaribu ku-google,ku-twitt na kila kitu lakini it looks like ubavu wangu ''haujaridhishwa'' na hayo majina.Sasa kwakuwa I HAVE FRIENDS IN MY LIFE...nilidhani si vibaya mkanisaidia na nyie kupropose majina kadhaa ya mtoto wa KIUME.

MAJINA HAYA NAOMBA YAANZIE NA HERUFI G..
mimi nilikuwa na haya:
GAMALIEL
GARETH
GAETANO
GYAN
GERVAS
Gallus
graham
Garry
Gavin
Geoffrey
George
Gerard
Germain
Gerry
Gibson
Glen
Gordon
Graham
Grayson
Gregory
Griffin

msaada wajameni,maanake huko ''tarbenakle'' hakukaliki tena

...Kwanza pole kwa hayo masahibu yaliyokupata. Ndio ukubwa huo, fingerprints zako 'huenda' zishawekwa kwenye National data base sasa, uwe mwangalifu utapogusa tena,...... aarrrghhhh!
...Pili, kwani shemeji yeye anapendelea jina gani? usijekuta jina la Google limempendeza huelewi tu.
Message niipatayo hapa, anataka umkubalie jina atalolilochagua yeye...
 
Gijsbert
Glyn
Gilmore
Gilroy
Giovanni
Glen
Grayer
Grenier
Grosvenor
Garth
 
ha ha ha ha!
braza mbu umeua!
kwa hiyo GOOGLE?
 
Gijsbert
Glyn
Gilmore
Gilroy
Giovanni
Glen
Grayer
Grenier
Grosvenor
Garth
UMESOMEKA!
mkuu sasa najiuliza nikienda na kid pale OLELE......!again namwambia babu-nkwe amwite mjukuu wake jina itakuwaje?
 
UMESOMEKA!
mkuu sasa najiuliza nikienda na kid pale OLELE......!again namwambia babu-nkwe amwite mjukuu wake jina itakuwaje?

GRANTS hata mabaamedi inakuwa rahisi kuelekeza wageni nyumbani.

Kwa nani? baba Grants? Ahaaa...paleeeeee!

Babu yake pale Olele akishindwa kulitamka unamkatia paketi mbili za valuu, utaona mwenyewe atakavolitamka kama Tony Blair.
 
Kwa hiyo bado search inaendelea ama tumefika mwisho? ataitwa GOOGLE ama GRANTS ama mengineyo ya "KITAKATIFU" zaidi......
 
Gijsbert
Glyn
Gilmore
Gilroy
Giovanni
Glen
Grayer
Grenier
Grosvenor
Garth

Kifupi chake inakua Roy.....na baade atakua st. roy....perfect....
Teamo copy this...

UMESOMEKA!
mkuu sasa najiuliza nikienda na kid pale OLELE......!again namwambia babu-nkwe amwite mjukuu wake jina itakuwaje?

Roy jina rahis kutamka bana....Gilroy...fupisha ita Roy....jina safi linatamkika hata na kibogoyo..
 
UMESOMEKA!
mkuu sasa najiuliza nikienda na kid pale OLELE......!again namwambia babu-nkwe amwite mjukuu wake jina itakuwaje?

Kwani ni vibaya akiwa na majina mawili....?
Mi ninayo matatu....!
 
ha ha ha ha!
braza mbu umeua!
kwa hiyo GOOGLE?

...la la la hasha! ha ha ha, mimi nimekupa ushauri tu...si unajua "jina linaumba?"

GALLUS
Gender: Masculine Usage: Ancient Roman

Roman family name which meant "rooster" in Latin. This was the name of a 7th-century Irish saint, a companion of Saint Columbanus, who later became a hermit in Switzerland.

...jina la Gallus litakuletea kesi nyingi toka kwa mkwe siku za usoni. Kwa kiswahili chetu cha pwani, tafsiri yake ni kijogoo! he he he!
 
Back
Top Bottom