msaada unyanyuaji vyuma

NG'ONG'ONHWI

Member
Sep 13, 2012
31
3
kwanza kabisa heshima zenu wana jf.mimi naomba kusaidiwa juu ya jambo hili,kuna madhara gani endapo mtu atakuwa akinyanyua vitu vizito(vyuma)?natanguliza shukurani.
 
Na miaka Minne sasa napiga hiyo kitu cjaona madhara yake, la muhimu visiwe locally tu ....
 
madhara yaek ni upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume,kwa mwanamke ni kushindwa kubeba mimba
 
wengi wananyanyua vyuma huku hawajui nini haswa wanataka kiwe matokeo ya unyanyuaji vyuma.
tatizo ni isipofanyika vizuri kutakiwa na dislocation ya joints na pia over stress misuli
 
wengi wananyanyua vyuma huku hawajui nini haswa wanataka kiwe matokeo ya unyanyuaji vyuma.
tatizo ni isipofanyika vizuri kutakiwa na dislocation ya joints na pia over stress misuli

Misuli bila kuwa over-stressed haiwezi kukua!
 
me najua kama utabeba chuma in upright position na chuma juu(kwa wanaume)..
kutokana na jinsi muscles zinavyo vutika inapeleka kupungua kwa ukuaji wa nywele( angalia wabeba chuma wengi huwa na nywele hafifu mwishowe huamua kunyoa vipara tu),,ukubwa wa uume hupungua,..pia muscels zitasinyaa sana uzeeni(tunajua nyama hushuka uzeeni ila kwa wabeba chuma inakuwa too much)...
 
Lete ushahidi wa kisayansi ambao unahitimisha hivyo.
 
Lete ushahidi wa kisayansi ambao unahitimisha hivyo.
nilisomaga kwa biology book(walieka na picha ya mtu kabeba chuma in upright position) enzi za o level cwezi pata kitabu hicho now....tena the book mention more than hizo ....fasta fasta hizo ndo nilizikumbuka
 
Kubeba chuma "in upright position" ndiyo nini?

Maana mwili una sehemu nyingi na mazoezi ya kunyanyua vyuma huendana sehemu ya mwili ambayo mtu unataka kuifanyia mazoezi.

Sasa kwa mfano flat bench press utanyanyuaje kwenye "upright position"? Au lat pull-downs utazifanyaje katika hiyo "upright position" yako?
 
na maanisha kubeba chuma ukiwa umesimama na kichuma liko juu umelinyanyua na mikono ....

Wewe hujui unachoongelea! Lichuma liko juu umelinyanyua na mikono unafanya zoezi gani? Shoulder press?

Mazoezi hayo hufanywa kulingana na body part ambayo mtu anataka kuifanyia mazoezi.

Ndiyo maana nikakuuliza ukitaka kujenga msuli wa latissimus dorsi kwa kutumia zoezi la lat pull down, utafanyaje hivyo ukiwa kwenye upright position?
 
mkuu nadhani nakijua ninachokiongelea ....ucniulize mimi utakuwa unafanya zoezi gani we jua kuwa ukibeba chuma kwa mtindo huo hayo madhara tajwa yatahusika

Ukibeba chuma katika hiyo upright position yako utakuwa umelenga kujenga ama kufanyia mazoezi misuli gani?

Manake kila zoezi lina namna yake ya kulifanya. Sasa wewe unadhani utajenga biceps kwa kunyanyua chuma kwa hiyo staili yako ya "upright position"?
 
wana jf shukrani kwenu nimepata jibu.siku zote fanya kitu huku ukitambua kuwa matokeo yake ni nini au lengo lake ni nini pia too much is harmfull,bila kusahau ushauri wa daktari/kiafya ni muhimu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom