Msaada: Ununuzi wa Trekta

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Wakuu naomba kujua kama kuna ukomo wa umri wa tractor zinazoweza kuingizwa nchini. Nimepata tractor moja ambayo imetengenezwa mwaka 1978 lakini bado iko order sana. Je, sheria inasemaje? Asanteni
 
Mwe, swali gumu! Leo natuma anuani nipate documents. Lakini naona kimya
 
Mkuu ... tractor ni machinery/equipment ..... hakuna limitation ya mwaka kama magari .... tena havina ushuru kwa sababu ni agricultural equipment .... utalipia only port charges
 
Mkuu ... tractor ni machinery/equipment ..... hakuna limitation ya mwaka kama magari .... tena havina ushuru kwa sababu ni agricultural equipment .... utalipia only port charges

mkuu ningekuwa na namba yako ningekutumia vocha.
 
Back
Top Bottom