Msaada unawezaje kuona contents za simu kwenye computer bila kutumia waya?

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,808
Msaada kama nilivyouliza hapo juu.. na pia je kuna uwezekano wa video mfano you tube za kwenye simu kuonesha kwenye computer bila kutumia waya wowote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom