Msaada: unatatua vipi tatizo la Dvd player (deki) kuchagua format za video?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,701
9,934
Wadau wa jukwaa hili nimeleta kwenu tatizo hilo la deki inachagua sana format za kuplay hasa Mp4. Unaweza vipi kutatua tatizo hili?
 
Hamna namna hapo, kama ipo hivo ni hivo tu.

Fanya conversion ya media yako kwa computer au simu kuelekea format ambayo deki itakubali.
 
Technology ya ma dvd deck imeshapitwa na wakati kalitupe kwa wauza chuma chakavu . Nunua ndude za kisasa tena bei nafuu mambo ya bluetooth utaenjoy huna haja ya mawaya. Hivyo usilihifadhi hilo ukadhani unarasilimali ndani tena watoto huwaruhusu kuligusa eti la baba. Subiri usiku wa manane changanya kwenye takataka tupa jalalani watu wasikuone nalo
 
Pole sana
Cd zinatofautiana
Na rens zinatofautiana
Kuna rens ni univers zinaweza kusoma format zote
Japo ni ngumu kua univers

Hiv unajua kuna cd nzito kidogo?
Na hata speed zinatofautiana kuzunguka ndani ya deck
Anyway tafuta cd nyingine au badili rens isome hizo ulizonazo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom