Msaada unahitajika

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Naombeni kujuzwa tofauti kati ya maneno haya yafuatayo:-
1) malaya
2) mzinzi
3)muasherati
 
1- ni kwa mwanamke anajiuza mwili kwa pesa kwa ajili ya ngono
2-Mtu anayefanya ngono nje ya ndoa, hii ni kidini zaidi.
3-Mtu anaefanya ngono na watu tofauti
 
Back
Top Bottom