Msaada unahitajika maana naona kichwa kinaelekea kupasuka

Bro jifunze kwanz uliachwa kwakuw huna hela, poleee asee na bado kumlea mtoto mmoja anakushinda

NB:labda jitahd kutafut yaya ata wa kushind nae jion dad ako akirud akae nae.
 
lea mwanao ,lea mwanao ,hizo buku unazipata kwa kubahatisha ni riziki za huyo malaika .Tafuta binti ashindenae mpaka jioni muda anaorudi huyo dada ako .Na ww anza kupambana usikimbie majukumu yako
 
Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Dada hawezi kumbeba mgongoni kwa sasa wakati ukitafuta suluhisho?
 
Hap
Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Hapa tatizo ni uchumi, fedha, pesa.Hamkuachana na mwezi wako baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka hapo nyumbani.Mlishaachanishwa kitambo na hali mbaya ya uchumi.Kaa na dada yako umuombe awe na mtoto wako kwa umakini.Tafuta kibarua upate fedha ya mtaji wa ujasiriamali mdogo ili uweze kuwa na mtoto wako karibu na umtunze.
 
Jitahidi ukae nae kama unashindwa mpeleke msimbazi center kwenye kituo cha masista cha kulea watoto waliotelekezwa!
Ila hiyo iwe option ya mwisho kabisa kwako as huyo mtoto anakuhitaji,mana mama yake kamkimbia at last wewe baba ubakie!

Namuona huyo binti akiwa na jeraha la kudumh moyoni mwake as she is growing up,i can feel her pain!
Mungu amtetee sana
 
Msichana wa kazi kaa nae wewe pamoja na mtoto kama na hilo haliwezekani basi.

Nina watoto wawili nipo kwenye harakati za kuchukua upande mzima (wapemba wanaelewa hapa) yaani vyumba viwili au vitatu na sebule kisha
Na "mwenye masikio na asikie"
 
Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
 
Nimesoma nimeumia sana, Nina watoto wadogo mapacha wa umri huo, nimewawazia jinsi wanavyonipokea nikirudi toka mihangaikoni nikamsikitikia huyo binti yako, na inaonekana mnamchukulia Kama ni mzigo kwenu kwahiyo hata tukikushauri ubaki nae bado atakosa upendo wa wazazi
nichek 0769922210 nimchukue

NOTE: tutakamilisha taratibu zote za kiserikali ili nimuasili
Hongera sana
 
Duuh pole sana jamaa, hadi unafikia hatua ya kutaka kumtupa mwanao!!?.
Nakushauri komaa mwanangu, kama ndo ivo sio siku zote sio unaenda kazini basi kaa na mwanao siku usizoenda kazini basi waachievhata majirani.

Na pia umeongelea zaidi nyumbani kwa sister ako na vipi kuhusu kwako?? Wewe unaishije?? Huyo mtoto mlimleaje hadi kufikia hapo?? Au ni vile mama kaona mzigo katupiwa yeye peke yake ndo mana akakimbia??
 
Inawezekana hutoi matunzo ya mtoto.

Maana umecomplain kuhusu kumpeleka mtoto daycare

Ingawa na mkeo nae kuacha mtoto wa umri huo inahitajika moyo wenye nyama za ziada!!!
 
Niletee huyo mtoto we pimbi maana nilishawahi muokotaga mtoto ninaye mpaka leo na yupo kidato cha tatu na nampenda na yeye ananipenda sana anajua mimi ndiye mzazi wake.Yaani funza kama nyie hamjui tu watoto ni baraka.
 
Mkuu pole sana unayopitia,ila kiukweli umenisikitisha sana kutaka kumgawa mtoto.

Yani ukifanya hivyo,utakua mbaya kuliko mkeo,mana angalau yeye alimuacha akijua wewe upo na dada yako atamlea.

Lakini wewe unataka kumuachia mtu yeyote usiemjua,vipi akichukuliwa na watu wabaya?unapata amani gani kuacha damu yako kwa mtu usiemjua?

Alafu hauna ndugu wengine?we nenda kwa ndugu yeyote zaidi ya dada yako?
 
Mlete kwangu km hujapata pa kumsitiri mtoto, ila tutapeana kwa maandishi na sushahidi wa wenyeviti wa mitaa. Sharti mtoto hutomchukua mpk niamue.
 
Mkuu pole sana unayopitia,ila kiukweli umenisikitisha sana kutaka kumgawa mtoto.

Yani ukifanya hivyo,utakua mbaya kuliko mkeo,mana angalau yeye alimuacha akijua wewe upo na dada yako atamlea.

Lakini wewe unataka kumuachia mtu yeyote usiemjua,vipi akichukuliwa na watu wabaya?unapata amani gani kuacha damu yako kwa mtu usiemjua?

Alafu hauna ndugu wengine?we nenda kwa ndugu yeyote zaidi ya dada yako?
Matatizo ya kumwaga mbegu kwenye mchanga badala ya udingi
 
Back
Top Bottom