Msaada unahitajika hapa

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,143
3,830
Heshima wakuu,
Nina hard disk ya 1TB aina ya seagate, inanitaka niiformat ninapoingiza kwenye usb port ndo niweze kuitumia na mimi sitaki kufanya hivyo kwa sababu data zangu zote zipo huko. Mwenye maujuzi kuhusu hili naomba atiririke hapa ili niweze kuokoa data zangu
 
Usiiformat. Chomeka kwenye computer yenye Windows 7 na utapata option ya Scan To Fix The Errors, hii option itaondoa tu lile file ambalo limesababisha tatizo. Tatizo ni kwamba either kuna bad sector au ulichomeka kwenye computer ikawa attacked na some malware.
 
UKISHINDWA KABISAAAAAAAAAAAAAAAA.....Chomeka kwenye computer yenye ubuntu au linux....nilishawahi kuokoa data kwa kutumia hii....unacopy zote muhimu fasta then una format
 
Back
Top Bottom