MSAADA UNAHITAJIKA: Class assignment

Mkimagi

Member
Jan 30, 2010
26
0
Habari wana jamii.

Tafadhali mwana jamii yeyote anayejuwa principles governing social security (example NSSF) here in Tanzania including references.

Please its urgent.

Thanks in advance
 
Class assignment. mhhhh

Ili uwe mwanafunzi bora inabidi useme so far umefanya nini ulischoshinwa usipende kuwa spoon fed.

Kama aliyewapa assignment hajawaambia ametaka mtumie intellgency ya vichwa vyenu kutambua where to find what.

So assume hupati msaada wa maana hapa. How will you go about that assignment.? Utafanyaje kuzipata hizo principle?Kwa Maelezo kama hayo wana jf watakuwa wanachangia kwa mwanafuzi anayejituma. Kuliko kuchangia kitu ambacho mwanafuzi mwenyewe hata hajasema amefanya nini.

Be active student. Take it as constructive criticism
 
Asante kaka.
Nimeupata ushauri wako na nitautendea kazi.

Back
Top Bottom