mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 903
Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za Pakistani zinaonekana sio nzuri kwa uimara, na used za UK zinaonekana ziko kuukuu sana.
Ila hizi za Afrika zinapendeza sana kwa macho ukiziona. Ni kama mpya kabsa. Msaada please.