Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Kuachana na mtu au mchepuko tu uliouzoea kuna tabu kidogo japo kuna time inafika inabd uchukue maamuzi magumu hasa kama yana faida upande wako mfano mm nlikuwa na kimchepuko kitaa hapa ambacho kilikuwa kinasoma chuo but kimepanga hapa kitaa sasa nkawa nanipooza na ofcoz nilikipenda sanaa nacho naamin linanipenda sasa kilipomaliza chuo kikapata kazi flani mkoa jirani japo sio mbali. Hapa ndo nkaanza kuwaza huyu sio mke wangu na huko anaishi mwenyewe bora hapa kitaa namuona muda mwingi huko aliko kuonana mpaka mwez labda upite ndo tupange appointment nkaona hapana maana hata wilaya anayoishi ni hatarishi so sababu kumcontrol na kummonitor ishakuwa ngumu njia pekee yamm na familia yangu kubaki safe ni kumpiga chini so nkamtafutia sababu tu basi japo alinisihi sanaaa tuendelee ila moyo wangu tayari ulikuwa hautaki maana nilishanusa hatari mbeleni so saiv tunawasiliana tu mara mojamoja kwa salam ila mapenz ndo basi niliyasitisha kwa usalama wangu

Aisee inataka moyo ila hakuna namna chief! Asante kwa ushauri
 
Sista unazingua ujue
Ngakvia mbutuku so sishekwaaa.. utakunde hado mbatu. Hadhuali ukundi suvahiyoove dutaalikwe na nyoonyo se? Dwaliyaaa fiasaka dhakini na nyohonyo ehe vavaee. Pooh. Mokudhukwa ni mku. Hadhafu utakilye ni vafidi yakwa mbutukuna mafodo na maviri
 
nijihisi mwanaume maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka! Ila nilikua nikitoka kulipukiwa nikikawaza kenyewe nasahau shida nafanya kazi kwa umakini na weledi mkubwa!
Kwako pamekuwa Afghanistan kwa mabomu uliyoyatengeneza mwenyewe..Sasa yanakulipukia unakuja kulalama hapa..

Baba ukitaka kwako pawe Kama pepo mfanye mke wako malaika..

Ikimuona km shetani ataifanya nyumba yako tanuri la Moto
 
Kuna michepuko mingine vichomi tuu,,,yaani mchepuko unapima hadi kiasi cha sperm na kutoa shutuma kuwa umeuza gemu kwingine.Ana sahau kuwa yeye ni side chick,halafu hapo hapo unakuta yeye ni mke na mama wa watoto kadhaa.Kwenye kuomba hela sasa ndiyo shida ilipoanzia (yaani mchepuko huo haukutaka kusikia habari ya kuwa kuna mchongo nausikilizia).Nilianza kujinasua taratiiibu akiomba laki natoa 25k, nasema mchongo ukitiki napunguza,,,mwishowe akala vitasa rasmi.Mpaka sasa ni mwaka sijawasiliana naye block imetembea kwenye platform zote.
 
Kwako pamekuwa Afghanistan kwa mabomu uliyoyatengeneza mwenyewe..Sasa yanakulipukia unakuja kulalama hapa..

Baba ukitaka kwako pawe Kama pepo mfanye mke wako malaika..

Ikimuona km shetani ataifanya nyumba yako tanuri la Moto

Km unahisi sikujaribu kufanya hivyo basi siwezi kuelezea ukanielewa! Ila jua wanawake msio na shukrani mpo na wenye shukrani mpo pia!
 
Ngakvia mbutuku so sishekwaaa.. utakunde hado mbatu. Hadhuali ukundi suvahiyoove dutaalikwe na nyoonyo se? Dwaliyaaa fiasaka dhakini na nyohonyo ehe vavaee. Pooh. Mokudhukwa ni mku. Hadhafu utakilye ni vafidi yakwa mbutukuna mafodo na maviri

🤣🤣🤣sista una nn lkn itabid tukutane tuchape kitimoto na wifi zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom