frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 598
- 874
Wakuu eti ukichoma sindano ya uzazi wa mpango yafaa kukaa muda gani ndo uweze kujamiiana na mwenzi wako bila wasi wasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasi wasi wa nini, mbona hata bila sindano tunajamiianaWakuu eti ukichoma sindano ya uzazi wa mpango yafaa kukaa muda gani ndo uweze kujamiiana na mwenzi wako bila wasi wasi?
Sent using Jamii Forums mobile app