Lakini wana chanjo mkuu kuna mtu ameniambia ni typhoid kutokana na kinyesi chao inawezeiana mkuu?Kwa dalili hizo hiyo bila shaka ni Newcastle aka mdondo aka kideri. Wape mchanganiko wa O.T.C 50% na Tylodox (ya Uingereza ndiyo nzuri zaidi).
Shukran boss.Pole sana.wanyama na ndege wakishaanza kuumwa Ni ngumu kupona
Hapo kwenye kugeuza shingo ndiyo tatizo mkuu. Pia chanjo za Newcastle na Gumboro zile za kuchanganya kwenye maji yakupasa kuwa makini.Lakini wana chanjo mkuu kuna mtu ameniambia ni typhoid kutokana na kinyesi chao inawezeiana mkuu?
Lakini ntafanya na ulichoniam ia
Nimepoteza wawili tyar,nimewaanzishia dawa ya typhoid waliobaki wako vizuri huyo niliewaonesha picha kafa juz na mwingine kafa jana hakuna mwingine bandani mwenye dalili kama hizo tena..so far nashukuru kidogo maana nilikua nawaza sana kama ni mdondo na chanjo haikufaa bas ningepoteza wengi maana wanakaa 85 kwenye banda moja.Hapo kwenye kugeuza shingo ndiyo tatizo mkuu. Pia chanjo za Newcastle na Gumboro zile za kuchanganya kwenye maji yakupasa kuwa makini.
Dose 100 = Maji lita 2.5 mwisho 3
Dose 500 = lita 10
Dose 1000 = lita 20
Uko sahihi mkuu. Kwa mdondo kuku wadogo kama hao vifo huwa takriban 50%. Pia chanjo ya matone huwa ni uhakika. Sasa hapo zingatia usafi wa maji na vyombo vyake. Pia usafi wa banda.Nimepoteza wawili tyar,nimewaanzishia dawa ya typhoid waliobaki wako vizuri huyo niliewaonesha picha kafa juz na mwingine kafa jana hakuna mwingine bandani mwenye dalili kama hizo tena..so far nashukuru kidogo maana nilikua nawaza sana kama ni mdondo na chanjo haikufaa bas ningepoteza wengi maana wanakaa 85 kwenye banda moja.
Niliwapa chanjo ya mdondo ya jicho na ya gumboro ya maji.
Dalili za mdondo ni uharo wenye kijani,na kama bahati mbaya itakutokea wachinje kwani mdondo ni virusi hauna tiba,ikibidi tumia mchanganyiko wa aloe vera na muarubaini huwa inatibu.Mimi huwa naongeza na majani ya mlonge pia huwa inasaidia.Jitahidi wapatie chanjo ya newcastle ili kuzuia mdondo.Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi
Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo.
Ni kifaranga chotara.
View attachment 1658278View attachment 1658280View attachment 1658282
Shukran boss alikuja mtaalamu hakua tofauti na wewe unachosemaDalili za mdondo ni uharo wenye kijani,na kama bahati mbaya itakutokea wachinje kwani mdondo ni virusi hauna tiba,ikibidi tumia mchanganyiko wa aloe vera na muarubaini huwa inatibu.Mimi huwa naongeza na majani ya mlonge pia huwa inasaidia.Jitahidi wapatie chanjo ya newcastle ili kuzuia mdondo.
Uharo mweupe hio ni salmonella sio mdondo.Intertrim ni dawa inayofanyavizuri Sana kwenye salmonella.Hivyo huyo kuku wako ana salmonella sio mdondo.Madawa mengi yenye salfa kwa wingi ni mazuri sana kwa tyfod ya kuku.
Angalizo,Mimi si dakfari ila ni mfugaji mzoefu.
Uko sahihi mkuu. Kwa mdondo kuku wadogo kama hao vifo huwa takriban 50%. Pia chanjo ya matone huwa ni uhakika. Sasa hapo zingatia usafi wa maji na vyombo vyake. Pia usafi wa banda
Pamoja mkuu.Shukran mkuu