Msaada: Ufahamu kuhusu mwezi na jua

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,939
517
Wakuu naombeni ufafanuzi hapa. Kati ya MWEZI na JUA kipi kina nguvu zaidi ya kingine? Pili wanasayansi wengi husafiri kwenda mwezini, Je! Kwa nini hawaendi kwenye jua? Pia wanasayansi hao hao husema mwezini kuna viumbe hai, Je! Kwenye jua hakuna viumbe hai?
 
Duh, maswali mengine bhana. Utadhani mtoto wa chekechea anauliza. Okay, ngoja wajuvi wa mambo haya waje.
 
NASA wanaamini kule mwezini na sayari ya mars pana viumbe wanaishi kule wakiambiwa wathibitishe wanashindwa. Ila kiukweli hakuna kiumbe kule coz mazingira yenyewe hakuna maji mgandamizo wa hewa chafu ni mkubwa sana. Na jua ni sayari kubwa yenye gesi ya hydrogen inayoungua mda wrote. Kwa msaada zaidi tembelea youtube andika aliens and UFO au download NASA app
 
Duh, maswali mengine bhana. Utadhani mtoto wa chekechea anauliza. Okay, ngoja wajuvi wa mambo haya waje.

ishi maswali ya chekechea unawaachia wajuvi wa mambo tena? nlijua utayadadavua kwa kasi ya ajabu....
 
Umeishia drs la ngapi. Maana maswali mengine hapo yanajibiwa na elimu ya awali.
Sio kukudharau lengo ni kujua ujibiweje.
Mfano kwenye jua hakuna viumbe hai?
 
Maswali hayajatulia;mfano anapouliza kati ya jua na mwezi kipi kina nguvu zaidi? Nguvu ipi sasa, ya joto, mwanga, uvutano ama nguvu ipi?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom