Msaada:Uelewa juu ya kozi ya Accounting &Transport Finance

shaman

Member
Jun 22, 2012
94
182
Wakuu hbr ya jioni
Naomba wenye kuifahamu vizuri kozi ya tajwa hapo juu anijuze inahusu nn hasa. Kuna ndugu yangu amechaguliwa hiyo kazi sasa sina ufahamu mzuri kuhusu kozi hiyo..hasa nachoombwa kujuzwa je koz ina utofauti na hizi za accounting za kawaida..na wajaariwa wake ni majukumi gan hasa wanafanya..!!
 
Muhusika ni wew au ndugu yako!?
 
Wakuu hbr ya jioni
Naomba wenye kuifahamu vizuri kozi ya tajwa hapo juu anijuze inahusu nn hasa. Kuna ndugu yangu amechaguliwa hiyo kazi sasa sina ufahamu mzuri kuhusu kozi hiyo..hasa nachoombwa kujuzwa je koz ina utofauti na hizi za accounting za kawaida..na wajaariwa wake ni majukumi gan hasa wanafanya..!!
Mimi
 
Back
Top Bottom