Msaada: Uagizaji wa magari yaliyotumika

al1983

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
328
373
Kwa yeyote mwenye kufahamu mabadiliko ya kuagiza magari yaliyotumika toka nje ya nchi baada ya tarehe 01 July 2016;

1. Je ukomo wa uchakavu ni miaka mingapi?
2. Kodi zimeongezeka ama kupungua?
 
Back
Top Bottom