Msaada tutani

betymathew

New Member
Jul 15, 2009
4
0
Naombeni msaada,nina laptop hp compaq nx6110 ina window xp sp2,ina usb port 2 ila hiyo moja haifanyi kazi,help on how to fix this problem
 
Imeacha kufanya kazi lini? au nn kilifanyaika mpaka ikaacha kufanya kazi? Je umejaribu ku connect USB device ha aina tofauti kama externa HDD and external DVD bado haifanyi kazi?

Kwa kuhakikisha nenda Right click My computer chagua MANAGE then DEVICE MANAGER- Universal Serial Bus controller .

Una ona zipo USB root Hub ngapi? Je hakuna yenye ka rangi ka njano?


kama alivyosema mdau kama ndivyo ilivyo zaidi ipeleke kwa jamaa
 
by the way mbona bado unatumia XP SP2? kuna faida nyingi za ku-update kwenda SP3 ikiwa ni pamoja na stability na security ya XP kwa ujumla. ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom