..Unataka kuendeleza Politiki??? Teh! tehhh! tehhhhh!!!!!Wajameni
Ninaomba msaada wa number ya simu ya mwanadada Nakaaya Sumary
ama manager wake ama njia yeyote naweza kumfikia kabla ya jumamosi.
Naomba unitumie kwenye PM kama hutopenda iwe hadharani.
kichakoro wa Mjini
..Unataka kuendeleza Politiki??? Teh! tehhh! tehhhhh!!!!!