Msaada: Kuhama iphone moja kwenda nyingine bila kupoteza data

Huwezi kuelekezwa humu ukafaulu, labda uwe makini sana na baada ya hapa pia pitia youtube kujingarisha zaidi ndipo uanze zoezi.

Kwanza hakikisha simu mpya ina ios ya juu kuliko au sawa na hiyo data zinakotoka, storage kubwa zaidi ama nafasi ya kutosha data husika, sio unatoa data za 15GB kwenda kwenye iphone ya 16GB utakwama,

Hakikisha simu mpya haina kitu chochote, hata kama ina daya ireset iwe kama mpya kabisa.
ikiwa inawaka, ikiishia ktk hello screen pangusa kisha ishia hapo ktk kuchagua lugha.

Chukua simu ya zamani lock screen na kuiunlock itaamkia katika code ya kuscan ya chenga zinatotembea,chukua simu mpya ziscan,kisha simu mpya itaomba password za simu ya zaman,weka hizo.NOTE ukikosea mshart ya pale juu na password umeshaweka,simu zitakusumbua kuliko usumbufu wowote ambao umeshawahi kukutana nao,baada ya hapo subiri wali uive sasa itategemea na wingi wa mchele.

Got u
huwezi kuelekezwa humu ukafaulu,labda uwe makini sana.na baada ya hapa pia pitia youtube kujingarisha zaidi ndipo uanze zoezi.

kwanza hakikisha simu mpya ina ios ya juu kuliko au sawa na hiyo data zinakotoka,storage kubwa zaidi,ama nafasi ya kutosha data husika,sio unatoa data za 15GB kwenda kwenye iphone ya 16GB utakwama,

hakikisha simu mpya haina kitu chochote,hata kama ina daya ireset iwe kama mpya kabisa.
ikiwa inawaka,ikiishia ktk hello screen pangusa kisha ishia hapo ktk kuchagua lugha.

chukua simu ya zamani lock screen na kuiunlock itaamkia katika code ya kuscan ya chenga zinatotembea,chukua simu mpya ziscan,kisha simu mpya itaomba password za simu ya zaman,weka hizo.NOTE ukikosea mshart ya pale juu na password umeshaweka,simu zitakusumbua kuliko usumbufu wowote ambao umeshawahi kukutana nao,baada ya hapo subiri wali uive sasa itategemea na wingi wa mchele.

Helpful
Huwezi kuelekezwa humu ukafaulu, labda uwe makini sana na baada ya hapa pia pitia youtube kujingarisha zaidi ndipo uanze zoezi.

Kwanza hakikisha simu mpya ina ios ya juu kuliko au sawa na hiyo data zinakotoka, storage kubwa zaidi ama nafasi ya kutosha data husika, sio unatoa data za 15GB kwenda kwenye iphone ya 16GB utakwama,

Hakikisha simu mpya haina kitu chochote, hata kama ina daya ireset iwe kama mpya kabisa.
ikiwa inawaka, ikiishia ktk hello screen pangusa kisha ishia hapo ktk kuchagua lugha.

Chukua simu ya zamani lock screen na kuiunlock itaamkia katika code ya kuscan ya chenga zinatotembea,chukua simu mpya ziscan,kisha simu mpya itaomba password za simu ya zaman,weka hizo.NOTE ukikosea mshart ya pale juu na password umeshaweka,simu zitakusumbua kuliko usumbufu wowote ambao umeshawahi kukutana nao,baada ya hapo subiri wali uive sasa itategemea na wingi wa mchele.

Simple
Tumia email yako iliokuwa unaitumia kwenye old phone Kama iCloud account na password yake kisha itumie kwenye simu yako mpya hapo itakupa taaarifa email yako or iCloud account yako kutumika kwenye two iPhones.
Baada ya hapo data zako zote za kwenye old iPhone zitakuwa copied to new iPhone na kila unapo add data yeyote kwenye simu mojawapo inakuwa copied kwenye simu nyingine automatically ukiwa online kwa data zilozopo kwenye iCloud account
 
Anhaa got u man

Hapo pachika icloud na email kutoka kwenye old phone bila kusahau namba ya simu halafu lisongeshe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom