Msaada tutani

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
252
422
Wakuu Pc yangu ina matatizo kadhaa kama kutofungua apps ambazo zilikuja na Pc inasema apps can't open using the built-in adminstration niliwah badili akaunti kwenye machine sasa kuirudisha previous one nashindwa, Pili nilikuwa natumia simu kuunga na internet sasa nayo haitaki kabisa inakuwa connected ila nikiperuzi haifunguki, Tatu nikaona basi wacha ni restore au ni reset napo inakataa ikisema there was a problem resetting your pc, no changes were made,wakuu msaada niko na window 10 ni original ona mana hii win ni latest Pc pia ni latest one 64bits ram 2gb
 
mkuu unaingia kama guest/user ndio maana unapata hayo matatizo, log out halafu wakati wa kulogin ingia kama admin (user wa kwanza kabisa sio huyo uliemtengeneza wewe)
 
mkuu unaingia kama guest/user ndio maana unapata hayo matatizo, log out halafu wakati wa kulogin ingia kama admin (user wa kwanza kabisa sio huyo uliemtengeneza wewe)
Mkuu naingia kama admin si paoni asee pakuingilia yani ipo akaunti moja tu
 
bonyeza start kisha chagua kialama cha mtu chini kushoto halafu chagua user wa kwanza au bonyeza Ctrl+Alt+Del then chagua switch user
Mkuu nikienda switch user inaenda kwa User akaunti hii hii iliyokuwepo ya adminstrator
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom