Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Wakuu Pc yangu ina matatizo kadhaa kama kutofungua apps ambazo zilikuja na Pc inasema apps can't open using the built-in adminstration niliwah badili akaunti kwenye machine sasa kuirudisha previous one nashindwa, Pili nilikuwa natumia simu kuunga na internet sasa nayo haitaki kabisa inakuwa connected ila nikiperuzi haifunguki, Tatu nikaona basi wacha ni restore au ni reset napo inakataa ikisema there was a problem resetting your pc, no changes were made,wakuu msaada niko na window 10 ni original ona mana hii win ni latest Pc pia ni latest one 64bits ram 2gb