Msaada tutani waungwana spare ya Subaru

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Naomba kufahamu ni sehemu gani Arusha naweza kupata Oil Seal ya Clean Shaft ya Subaru Forester New model ya mwaka 2009.

Natanguliza shukrani.

IMG_20191211_121722.jpg
IMG_20191211_121747.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
seal ni moja ya universal aftermarket part , kama vile fan belt au bearings zinavyokuwa , huna namba ya hiyo seal?
 
Kwan tangu mwaka Jana hajapata hiyo seal?
Haha hata sikujua Kama ni Kama thread ni ya Siku nyingi, Ila nilitaka tu kuuelewesha uma kwamba vitu Kama seals bearings na belts haviwi specific kwa ajili ya gari Fulani , hata hao Subaru huwa Wana source kwa manufacturers kadhaa
 
Back
Top Bottom