Msaada tutani wanadugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani wanadugu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by salvabene, Sep 10, 2012.

 1. s

  salvabene New Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naitwa Salva, nina umri 22, nimemaliza kidato cha sita mwaka juzi , nimebahatika kuwa katika familia yenye uwezo , ila mzee wangu ni mkali kiasi , an ile dictatorship power even over his family , yani hayuko close sanahh na sis watoto wake ,Baada ya kumaliza kidato cha sita nilifanya kazi na mzee wangu mpaka sasa bila kujiunga shule ,ambapo yeye alinishauri akiniambia shule iko tu utasoma ,
  mda wangu wa kujiunga na shule ( chuo nadhani umefika na malngo yangu ni kusomea biashara) ila kwa opinion yangu na katika kuzunguka kwangu duniani nimeona mazingira ya Bussines relations hutokana na unaposomea na jamii inayo kuzunguka , mtu anesomea biashara , Bussines Management alie Marekani lazima aw na broad knoledge kuliko aliesoma Tanzania ( sorry but its fact ) and Aim yangupia ni hiyo , study what you want to acheve whilee enviroment conditions Matter too, Nimefikiria kusoma , Usa , uk , na Australia kati ya hizo nchi ila napata shida na kuongea na mze wangu kwani kila ukimueleza swala kama hilo ana kupinga anataka nisome Tanzania , du to his personal thought ili nisaidie kazi zak pia , ila ninachowaza ni i want to build my own future then ikitokea i have to work with him later then it will be cha msingi ni kumaliza chuo Nje niweze kupata broad mind of diferent bussines relations worldwide ,
  Nashidwa kumconfront ili tuliong hilo swala so i thought nimuandikie email ambayo itamtosheleza awze kuni release niendele na masomo huko nitakako,

  Naombeni msaada kwa mtu abae anawza andika a convicing mail (letter ) kumueleza nia yangu kimaisha

  ntashukuru nikipata maoni yenu pia ,, mail yangu
  Salvatory \
  Dar es salaam
   
 2. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Acha kuchanganya lugha(kiswangilish)
  kwanini hukusoma nje kuanzia chekechea maana unaonekana unaidharau elim ya bongo
  asikudanganye mtu anachosoma mtu wa uk ndicho tunachosoma bongo kama unabisha pitia website za vyuo kama oxford na harvard katk field ya biashara uone hizo contents,zote zinafanana naza bongo
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Mimi naweza kuandika hiyo E-mail lakini tukubaliane malipo kabisa yatafanyika vipi, kwasababu ukishafanikiwa mpango wako itakua kwa faida yako sidhani kama mimi muandika hiyo barua utanikumbuka. Tangaza dau mkuu. . .
   
Loading...