Msaada tutani wakuu

I promise ntafika huko mwime dada #Manengelo na ntakupa mrejesho.
Kwasasa Sina cha kupoteza maana Sina mtoto, mke wala demu anayenipa pressure so I will struggle more reluctantly until I make a fortune out of it!
Hayo ndo maneno mkuu...hujachelewa....! Utakapokuweko huenda tukaonana .maana wachimbaji ni nyani wale wale pori tofauti....! Ila USIMUAMINI MTU!
 
Kahama maisha ni ghari kama Dar tu. Unakimbia kazi dar unakimbilia Kahama kutafuta kazi tena!!!!!!
Haya sasa ni maajabu pia

Mkuu Kahama Kama zinachaji fresh unatoka mapema Sana kuliko dar...!
Kahama Kuna fursa nzuri Sana ya kuteka soko la chakula...hakuna kijiwe kuzuri chenye msos mzuri. Expt chillers nao wanashobo zao ..
Toa idea ya msos dar ipeleke dar mkuu utaona response nzuri..hakuna bites nzuri hata kidg. Yelewi fursa ni mob!
 
Ahsante dada manengelo kwa kunisaidia kumjibu.
By the way,,ni lazima uyapokee mawazo yote ya wachangiaji hata Kama yanakera maana tunatofautiana sana mtizamo sisi binadamu
 
Back
Top Bottom