donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Naomba msaada kwa anayefahamu wapi nitapata spares hizi za Mazda premacy:
Civ joints, stabilizer links na bushes.
Civ joints, stabilizer links na bushes.
Awali ya yote, upo wapi...? ili uelekezwe duka la kwenda kununua .Naomba msaada kwa anayefahamu wapi nitapata spares hizi za Mazda premacy:
Civ joints, stabilizer links na bushes.
Awali ya yote, upo wapi...? ili uelekezwe duka la kwenda kununua .
Awali ya yote, upo wapi...? ili uelekezwe duka la kwenda kununua .
Atakuwa Dalali huyo na tayari kaingia mitini, mwambie afungue hiyo spare halafu aende Ilala akatafute kwa used shop kwani Mazda spare zake ni taabu kidogo
Dar mkuu
Kwa Dar, duka la spare parts za Mazda lipo Tabata Matumbi karibu na kituo cha daladala hapo Matumbi.Naomba msaada kwa anayefahamu wapi nitapata spares hizi za Mazda premacy:
Civ joints, stabilizer links na bushes.
Kwa Dar, duka la spare parts za Mazda lipo Tabata Matumbi karibu na kituo cha daladala hapo Matumbi.