Msaada Tutani: Ni taasisi ipi ya mikopo kwa Dar naweza kupata mkopo wa 400,000 kwa leo?

kijana wa leo

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
2,856
7,003
Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
 
Back
Top Bottom