Msaada tutani - natafuta contact details za Simba (Rage) na Yanga (Madega)

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
1,175
604
Wakubwa zangu - shikamooni!
Wenzangu na miye - mambo?
Wadogo zangu - niamkieni!!!
Naomba msaada wenu mdogo. Natafuta contact details za clubs za Simba (hususan e-mail ya mwenyekiti I. A. Rage) na Yanga (nikipata e-mail ya mwenyekiti I. M. Madega itakuwa afya zaidi). Nimejaribu ku-search kwenye mtandao bila ya mafanikio - labda siku-exhaust maeneo yote, sijui.
Natanguliza shukurani na Mungu awabariki sana.
Shalom!
 
Back
Top Bottom