Msaada Tutani...Nani Anafanya Kazi Wizara ya Elimu na Ufundi Stadi

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
Kama kuna mtu anaweza akanipa mwelekeo mzima ya kwamba nani anaweza kuchagua syllabus ya shule ya kufuata kama syllabus,ya kimataifa naomba msaada...

Procedure nzima na who to choose the syllabus to be followed for and International School kama IB au UK National Curriculum..

I have done some research,but the lwa is silent on this issue..

Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom