tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Wadau habarini,
Kuna ndugu anahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya biashara na ni mara ya kwanza kufanya hiyo biashara lakini katika uchunguzi wake amegundua kuna aina tatu ndani ya biashara ya bodaboda
Kwanza ni mwenye bodaboda kuendesha mwenyewe pikipiki kibiashara
Pili kuna mkataba wa mwenye pikipiki na dereva wa bodaboda kwa kukusanya mauzo kwa wiki na dereva kumpa mwenye pikipiki bila muda maalum kama vile daladala kupeleka hesabu kwa mmiliki
Tatu kuna mkataba wa muda maalum wa malipo kwa mwenye pikipiki na dereva na baada ya muda huo wa malipo kukamilika then pikipiki unabadilishwa umiliki na kukabidhiwa dereva moj kwa moja
Sasa maombi kwenu ni kupata mkataba huu wa tatu yaani muda maalumu wa malipo then pikipiki inabadilishwa umiliki wake baada ya muda huo
Nashukuru kwa ushirikiano wenu wadau