Msaada tutani kuhusu malipo ya faini ya gari

Aug 16, 2020
37
48
Habari wadau!

Hivi ikitokea gari imeandikiwa then ukalipa kwa kutumia wakala wa bank, baadae kama miezi minne unakamatwa gari inadaiwa deni lile lile ni nini unapaswa kufanya?

Receipt ipo ila imefutika maandishi..
 
Angalia namba ya muamala (reference) namba kama unaweza kuisoma katika hiyo risiti. Uende kwa huyo wakala umuombe avute statement ya hiyo tarehe iliuthibitishe kama hela ilienda.

Kama ilienda hiyo ni police case. Nenda polisi ukajieleze. Kama gharama za kufuatilia mchakato huu ni kubwa kuliko hela uliyolipa, baba potezea.
 
Receipt nnayo Ila kama Sina maana imefutika kinachosomeka ni NMB wakala Tena ukiigeuza kwa nyuma ni TSH 120,000 hivyo naona kama nitafute kama kuna solution kabla ya kuamua kulipa tena..
Angalia namba ya muamala (reference) namba kama unaweza kuisoma katika hiyo risiti. Uende kwa huyo wakala umuombe avute statement ya hiyo tarehe iliuthibitishe kama hela ilienda. Kama ilienda hiyo ni police case. Nenda polisi ukajieleze. Kama gharama za kufuatilia mchakato huu ni kubwa kuliko hela uliyolipa, baba potezea.
 
Back
Top Bottom