Msaada tu jamani, naomba kujua bajeti ya bunge huwa inasomwa na nani?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,070
1,842
Kwa kuwa ndo naanza kufatilia siasa za Tanzania, huwa nasikia bajeti za serikali na mahakama, ila sijawahi kusikia bunge linapewa kiasi gani cha pesa na kama CAG analikagua, tafadhari nijibu kwa ushahidi, kama huna uhakika, pita tu pembeni
 
kuhusu inasomwa na nani..

Waziri wa nchi, ofisi ya Rais Sera,BUNGE kazi,ajira,Vijana na watu wenye ulemavu. Mh. Jenista Mhagama
 
Ahsante kwa hilo, je pia nao wanakaguliwa?
 
Kwa kuwa ndo naanza kufatilia siasa za Tanzania, huwa nasikia bajeti za serikali na mahakama, ila sijawahi kusikia bunge linapewa kiasi gani cha pesa na kama CAG analikagua, tafadhari nijibu kwa ushahidi, kama huna uhakika, pita tu pembeni
CAG
 
Back
Top Bottom