Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 456
- 829
Habari wakuu,
Kuna ndugu yangu alimgonga mama mmoja na gari na wala hapakua na zebra yule mama alivuka tu ghafla, akavunjika mguu akamtibu mpaka akapona lakini yule mama akadai alipwe milion 2 ili alimalize hilo suala lakin polis wakamwambia bora waende mahakamani. sasa huyo ndugu yang ana waswas wa kwenda mahakaman na hajawah kufika hata siku moja. Je, hukumu zake inakuaje?
Note: Gari ina bima na ana leseni ya udereva