Msaada: Toyota Voltz inakula mafuta lita moja kwa 7km

Yes, roughly huwa ninapata 12km/l nikiwa highway. Ilibidi niachane na plugs za mitaani, nikaenda Toyota pale Msimbazi. Plug moja elfu 45.
Aina gani mkuu, Denso au NGK?
Kuna muhindi mmoja anataka aniuzie kwa Tsh 25k pale mitaa ya Kisutu aina ya Denso, sasa sijui ni SEMI-ORIGINAL au vipi? Lakini angalau Wahindi wana unafuu kwa bidhaa zao, hata simu ni mara chache kuchakachua au uchakachuzi wao kidogo wana huruma. Ukienda Kariakoo ukaingia kichwa kichwa utachakachuliwa na wabongo mpaka ushike kichwa
 
Kama unataka og nenda karikoo msimbazi toyota wana branch pale utapata og kabisa
 
Aina gani mkuu, Denso au NGK?
Kuna muhindi mmoja anataka aniuzie kwa Tsh 25k pale mitaa ya Kisutu aina ya Denso, sasa sijui ni SEMI-ORIGINAL au vipi? Lakini angalau Wahindi wana unafuu kwa bidhaa zao, hata simu ni mara chache kuchakachua au uchakachuzi wao kidogo wana huruma. Ukienda Kariakoo ukaingia kichwa kichwa utachakachuliwa na wabongo mpaka ushike kichwa
Ni Denso SK20R11
 
Ok
Hivi zile za kubumba Denso si zinakua na code namba kama hii, utazitofautishaje?!
Bei zinaweza kuonesha kuwa ipi ina ubora wa chini. Hizo nilichukulia kwenye duka la Toyota, pale Msimbazi Street, Kkoo.
 
Ukubwa wa enine n jambo la kwanza. la pili ni ufanisi wa engine yenyewe zingine unakuta engine imechoka tarajia kula mafuta zaidi pia aina ya uendeshaji
 
Hivi zile machine za OBD II ukiscan si zinaleta taarifa zote hizo au

Hakuna OBD II itakayokuletea hizo taarifa zote. Haipo.

OBD II inahusu powertrain. Ambapo mara huwa engine. Japo powertrain inainclude engine gearbox differential na final drive.

Zipo mashine specific ambazo unaweza kufanya full system diagnosis na huwezi kukuta eti wanaiita OBD II. Ila OBD II nayo huwa inakuwepo ndani ya hiyo mashine.
 
Back
Top Bottom