Msaada: Toyota Voltz inakula mafuta lita moja kwa 7km

Huyu mshkaji at least naona ndiye fundi anayejielewa kidogo humu JF,wengine ni full ukanjanja hata kutaja bei kwao ni ishu pamoja na ujuaji mwingi-Yupo so matured
Yah, jamaa anajiamini hatilii mashaka kabisa! Plus anajua anachokifanya.
 
Mi huwa nazima kabisa maana foleni ni maumivu 😂😂😂 kwangu nakula zangu mziki tu!
1ZZ-FE imelengwa ikupe 8KM/L economy ikiwa town trips so ikikupa 7KM sio mbaya ni sababu ya wear and tear impact plugs ama air cleaner! Ukibadili plug na cleaner au MAF sensor inaweza kurudi 8KM/L au zaidi ila highway inakula vizuri tu lazma ikupe 12KM/L
Yes, roughly huwa ninapata 12km/l nikiwa highway. Ilibidi niachane na plugs za mitaani, nikaenda Toyota pale Msimbazi. Plug moja elfu 45.
 
Back
Top Bottom