Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,297
- 11,082
Jamani, naombeni msaada. Nimejaribu kutafuta mtandaoni tovuti za studio za Master Jay (MJ Records) na mwenzake P Funk (Bongo Records) nimeshindwa kuzipata kabisa. Nilikuwa naamini kwamba studio hizi maarufu na kongwe zingekuwa na tovuti hadi kufikia sasa, ila si hiyo. FM studio nimeona tovuti yao, imetulia sana. Kama kuna mtu anafahamu tovuti zao hao watu basi anijulishe.
Naamini JF hapaharibiki kitu.
Idimi.
Naamini JF hapaharibiki kitu.
Idimi.